JIFUNZE ENGLISH BURE KUPITIA WHATSAPP

 
Ni kweli unaweza kujifunza English na wenzako toka mikoa yote Tanzania kupitia group letu maalum la WhatsApp.

Kujiunga ni bure kabisa. Utaratibu uliopo katika group ni kuwa mwalimu atakua akitoa maelekezo au masomo mbalimbali, na mazoezi wana group watashiriki kwa kujibu.

Pia katika group utapata nafasi ya kushirikiana na wengine kuongea English. Lugha mbili huwa zinatumika.

Bofya link ifuatayo kujiunga kama unatumia simu.

https://chat.whatsapp.com/BS68SWl7Iv48VuRDQ0MuSS

 La, tuandikie message ukijitambulisha jina lako na mkoa uliopo kisha sisi tutakuadd kwa group letu.

+255 623 029 683

Kumbuka wakati unajiunga na group tuna kanuni zetu za group , na ni hizi hapa chini. Usipozifuata tutakutoa katika group.