KITABU CHA JINSI YA KUJIONGEZA UPATE MAFANIKIO ZAIDI


Katika kitabu hiki utapata kujifunza mambo mengi sana muhimu kwa maisha yako. Utaongeza maarifa ya namna ya kujitambua, mambo gani ya msingi ya kuacha , na yapi ya kuanza kufanya sasa ambayo haukuwwa ukifanya.

Kitabu hiki cha Mbinu za Kujiongeza kitakuonyesha mambo gani ambayo yanakukwamishwa, kitaelezea kuhusu tabia na mbinu nyingine za kisaisokolijia ambazo hutumika katika kuboresha namna watu wanavyoziona fursa na kuzitumia.

Tutumie jina lako na namba yako ya simu tutakuweka katika orodha ya watu watakaopokea kitabu hiki. Ni bure kabisa. Tuma jina lako kwa WhatsApp:
+255 623 029 683