KITABU CHA KANUNI ZA KUIJUA ENGLISH


Jipatie kitabu hiki ili ujifunze kanuni na mbinu zote za msingi katika kuifahamu English. Utajifunza kuhusu aina zote za maneno  (parts of speech) , tenses na mambo mengine ya msingi kama vile idioms.

---------- OFA MAALUM --- SASA KITABU HIKI NI TSHS. ELFU KUMI TUU----

Kitabu hiki ni toleo la pili. Toleo hili limeongezeka mambo tofauti na toleo la kwanza. Kuna maboresho makubwa katika mada zilizokuwepo toleo la kwanza, na pia katika hili la pili kuna mambo mengi mapya yameongezeka. Mfano tumeongeza mifano na maelekezo zaidi katika topics za prepositions, adverbs, adjectives, passive voice, conditional sentences  na indirect speech. Pia toleo la kwanza lilikua tuu na utangulizi wa tenses -nyakati katika English, katika toleo hili la pili tumeweka maelezo yote kamili ya tenses.

Pia kuna topics mpya kwa wale ambao ndio kwanza wanaanza kujifunza English. Na kwa wale ambao wanataka kujiboresha zaidi katika English, basi kinakufaa zaidi maana kina maelekezo hata kwa wale wana kiwango cha kati cha kawaida na cha kati cha English.

Kwa maelekezo kuhusu jinsi ya kutuma Tshs. elfu kumi kwa ajili ya kitabu hicho, tuwasiliane kwa WhatsApp +255 623 029 683
 au tuma email kwa myungirejohn@gmail.com